Tag: Samsung

Samsung SDS Yawekeza kwa Mistral AI

Samsung SDS, kitengo cha TEHAMA cha Samsung, kimewekeza katika kampuni ya AI ya Ufaransa, Mistral AI, ili kuimarisha uwezo wake wa AI. Ushirikiano huu unalenga ujumuishaji wa teknolojia ya Mistral AI katika huduma ya 'generative AI' ya Samsung SDS, FabriX.

Samsung SDS Yawekeza kwa Mistral AI