Nguvu Ndogo ya Mistral AI
Kampuni ya Ufaransa, Mistral AI, imetoa mfumo mpya wa akili bandia wa 'open-source' unaoshindana na makampuni makubwa kama Google na OpenAI. Mfumo huu, 'Mistral Small 3.1', ni mdogo lakini una uwezo mkubwa wa kuchakata taarifa na picha, ukiwa na ufanisi mkubwa.