Kutana na 'Simba Sita' wa AI China
Makampuni sita—Zhipu AI, Moonshot AI, MiniMax, Baichuan Intelligence, StepFun, na 01.AI—yanaongoza katika uvumbuzi wa AI nchini China, yakiwa na wataalamu kutoka makampuni makubwa ya teknolojia ya Marekani na China.