Google Yatoa Gemini 2.5 Pro Kwa Wote, Lakini Kwa Masharti
Google imefungua modeli yake mpya ya AI, Gemini 2.5 Pro Experimental, kwa umma bure. Hata hivyo, toleo hili la bure lina vikwazo kama vile viwango vya matumizi na uwezo mdogo wa kumbukumbu (context window), huku nguvu kamili na vipengele muhimu kama Canvas vikibaki kwa watumiaji wanaolipia usajili wa Gemini Advanced.